Songtexte.com Drucklogo

Zanzibari Spice Songtext
von Turunesh

Zanzibari Spice Songtext

Mapenzi yaki Zanzibari
Baby we ni kitu kali
Katisha roho ukisitisha
Inatisha ukinani
Ukishika ni faya
Acha roho mbaya

Shtuka ushanifika chini
Tushawaka akili
Asali yako ni tamu
Nachovea pilipili

Nadhani ni hisiya
Bila sauti unasikia


Shtuka tuko kati ya shuka
Shika nayeyuka
Nashindwa kutammka
Kuamka sitaki
Only you can take it
Only you can take it

Maji yangu ni sacramental
Tumia ulimi
Dunia ni mimi
Asili ya mahaba
Usiliye baby
Peponi ni hapa

Nadhani ni hisiya
Bila sauti unasikia
Kati ya shuka
Shika nayeyuka

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Wer ist auf der Suche nach seinem Vater?

Fans

»Zanzibari Spice« gefällt bisher niemandem.