Songtexte.com Drucklogo

Too Much Songtext
von Nyashinski

Too Much Songtext

Niko na too much on my mind (too much, too much, too much)
Just enough in my account (just enough in my account)
Stress enough kukuwa na vices (stress enough kukuwa na vices)
Mbona natry kuzihide?
Mbona natry kuzihide?

Too much on my mind (too much, too much, too much)
Stress enough in my account (stress enough in my account)
Just enough kukuwa na vices (just enough kukuwa na vices)
Mbona natry kuzihide?
Mbona natry kuzihide mimi?

Yeah, too close to the edge (usinipush)
Usinipush niko too close to the edge (mafala dush)
Mafala dush wanataka kunitest (nataka roof)
Nataka roof ya convertible nitoe

Kichwa nje ndo hizi macookie zipoe
Mi niliona tu nisinyoe, nyi mnaona tu nisioe
Tunaenda mbali, tafuta ganji, ka uko na mzuka isipoe
Uko lucky, ka niko lucky, si si wote tu tuenjoy?

Nikishika kakitu tuka-share
Mi hujificha tu ka fame
Mambo ya mziki inaenda nywee
Jah anajua mahali ametuweka, uko wapi wewe?
Iko wa kupewa na wakungoja wa kupewa wakupee

Niko na too much on my mind (too much, too much, too much)
Just enough in my account (just enough in my account)
Stress enough kukuwa na vices (stress enough kukuwa na vices)
Mbona natry kuzihide?
Mbona natry kuzihide?

Too much on my mind (too much, too much, too much)
Stress enough in my account (stress enough in my account)
Just enough kukuwa na vices (just enough kukuwa na vices)
Mbona natry kuzihide?
Mbona natry kuzihide mimi?

Eka kioo ukitaka kuteka pretender
Unafuata check sana check inakuchenga
Unageuza next sana wife anaboeka
Unapanda stage naona uwoga inakuhepa

Unaficha ndom ndani ya socks unatekwa
Unapata form unajipox bila pressure
Unaenda bash unaona Molly zinamezwa
Unaona Nyash unajua quality inatesa yeah
Tesa, yeah, aah, mmm (mbona natry)
Yeah, yeah, yeah

Too close to the edge, too close to the edge (usinipush)
Usinipush niko too close to the edge (mafala dush)
Mafala dush wanataka kunitest (nataka roof)
Nataka roof ya convertible nitoe

Kichwa nje ndo hizi macookie zipoe
Mi niliona tu nisinyoe, nyi mnaona tu nisioe
Tunaenda mbali tafuta ganji ka uko na mzuka isipoe
Uko lucky ka niko lucky si si wote tu tuenjoy

Niko na too much on my mind (too much, too much, too much)
Just enough in my account (just enough in my account)
Stress enough kukuwa na vices (stress enough kukuwa na vices)
Mbona natry kuzihide?
Mbona natry kuzihide?

Too much on my mind (too much, too much, too much)
Stress enough in my account (stress enough in my account)
Stress enough kukuwa na vices (just enough kukuwa na vices)
Mbona natry kuzihide?
Mbona natry kuzihide mimi?

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Fans

»Too Much« gefällt bisher niemandem.