Songtexte.com Drucklogo

Soul Makossa – Final Songtext
von Manu Dibango

Soul Makossa – Final Songtext

uuuuuuu wowowoooo
yeah yeah yeah yeah yeah
Manuuuu, Vuvuzela production
yeah ooooooooooooh yeah
unanipenda na wala Baba hautanitenda
nikifanya tu vile unavyopenda Baba baba
kama nilisafiri mi kutoka mbali,
Sikujua kama nitafika,
Japo majaribu yalizidi kila hali,
Nikazidi kusita,
Niwewe niwewe hakuna mwingine kama wewe
Niwewe niwewe hakuna mwingine kama wewe,
Mi sikupi pesa ndo unipe uhai,
Noooooooooo
Ata kama mbele yako mi najiona sifai,
Nina, kila sababu ya kusema baba,
Nina, kila sababu ya kusema Baba
Unanipenda, na wala Baba hautanitenda,
Nikafanya tu vile unavyopenda,
Babaaa babaaaaa,
Nikitembea kila mahali nisipokuwa na wewe, Mi nahisi sina raha,
Ulivyo mi nipenda ukafanya nijielewe,
kwamba wewe wanifaa, huniwazii mabaya waniwazia mema, ata usiku nikilala, kila mara nitatii kile unachosema, Nisikuudhi weBaba
nikitembea kila mahali nisipokuwa na wewe, mi nahisi sina raha, Ulivyo mi nipenda ukafanya nijielewe kwamba wewe wanifaa, Huniwazii mabaya waniwazia mema, Ata usiku nikilala
kila mara nitatii kile unachosema nisikuudhi we Baba,
Unanipenda, na wala Baba hautanitenda,
Nikifanya tu vile unavyokapenda, Baba baba

Unanipenda, Na wala hautanitenda,
Nikifanya tu vile unavyopenda,, Baba babaBaba ×2
Baba pendo lako ni la ajaabu sana,
Baba, pokea zangu shukrani
baba, pendo lako ni la ajabu sana baba, pokea zangu shukrani


Unanipenda, na wala baba hautanitenda,
nikifanya tu vile unavyopenda, Baba baba
unanipenda, na wala baba hautanitenda nikifanya tu vile unavyopenda, Baba Babaa

I wanna empress your love, everyday and night, Everything i need you have,, my life is alright
Iwanna empress my love everyday and night, everything i need u have, my life is so alright...

woooooooooooooooooooo
yeaaaaaaaaaaaaaaaah

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Wer ist gemeint mit „The King of Pop“?

Fans

»Soul Makossa – Final« gefällt bisher niemandem.