- Home
- >
- Community
- >
- SHINIZER_TZ
Roja (SHINIZER_TZ)
- Mitglied seit 9. August 2026
- Zuletzt online 7. November 2026
- Quiz 0 Punkte (0.00% richtig)
Über mich
- Name Roja Emmanuel mwita
- Geschlecht männlich
-
Interessen
MWANA MZIKI WA BONGO FLAVOUR KUTOKA TARIME MARA TANZANIA SHINIZER TZ ALBUM ZAKE NI KAMA MAPENZI USHENZI, BAD MARRIAGE NA SHINIZER TZ ALBUM ZENYE NYIMBO KALI.
-
Zitat
Album mpya ya MAPENZI USHENZI sasa imetoka yenye nyimbo mbili kali sana sasa ipo all platform sikiliza sasa kwenye majukwaa mbali mbali shinizer tz
-
Über mich
Majina kamili: ROJA EMMANUEL MWITA
Jina la sanaa: SHINIZER TZ
kuzaliwa: 11/11/2005 katika kijiji cha SORONETA kata ya NYARERO wilaya ya TARIME mkoa wa MARA nchini TANZANIA katika familia yenye watoto sita na baba EMMANUEL MWITA MAGESA pamoja na mama REJINA EMMANUEL MWITA
safari ya mziki SHINIZER TZ alianza mziki wake akiwa kidato cha pili katika shule ya secondary inchage huku akitumia jina la KHAN ROJA ambapo enzi hizo alikuwa hajafanikiwa kuingia studio.