Intro Songtext
von Vanessa Mdee
Intro Songtext
Have you ever been in love
Umeshawai kumpoteza umpendae
Ushawai kuchagua wakati ya ajira yako na mapenzi
Ushawai kujichukia na kujiona hufai
kwenye haya maisha kwa ajili ya mapenzi Kumbuka hakuna ukingo mpaka mwisho wa pumzi yako
Na unaweza kuanza upya mda wowote
Kwa sababu kila mwisho wa jumapili.ni mwanzo wa jumatato...
Usiogope kuanza upya...
MONEY MONDAYS.

Lyrics powered by www.musixmatch.com