Vunja Mifupa Songtext
von Samba Mapangala & Orchestra Virunga
Vunja Mifupa Songtext
Vunja mifupa kama meno bado iko
Vunja mifupa kama bado meno iko
Utakuja lia ukishapoteza muda wako
Utakuja lia ukishapoteza muda wako
Fikiria kama ungali bado kijana
Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako
Masiku miaka zinaenda hazitarudia eee
Masiku miaka zinaenda hazitarudia tena
Kwa hivyo chunga ndugu yangu eeh
Usifate wale wabaya
Kwa hivyo chunga ndugu yangu eeh
Usifate wale wabaya
Punguza ulevi ndugu
Chunga jamii yako eeh
Watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule
Apate elimu eeeeh
Atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu eeeh
Dunia ni hivyo hivyo ndivyo ilivyooo
Punguza ulevi ndugu
Chunga jamii yako eeh
Watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule
Apate elimu eeeh
Atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu eeh
Dunia ni hivyo hivyo ndivyo ilivyo
Siompeta hahahaaa
Samba mapangala adiote paris ooohh jotoo
Hima hima hima
Hima hima hima
Hima hima hima
Heeh ses
Heeh ses
Heeh ses
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Vunja mifupa kama bado meno iko
Utakuja lia ukishapoteza muda wako
Utakuja lia ukishapoteza muda wako
Fikiria kama ungali bado kijana
Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako
Masiku miaka zinaenda hazitarudia eee
Masiku miaka zinaenda hazitarudia tena
Kwa hivyo chunga ndugu yangu eeh
Usifate wale wabaya
Kwa hivyo chunga ndugu yangu eeh
Usifate wale wabaya
Punguza ulevi ndugu
Chunga jamii yako eeh
Watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule
Apate elimu eeeeh
Atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu eeeh
Dunia ni hivyo hivyo ndivyo ilivyooo
Punguza ulevi ndugu
Chunga jamii yako eeh
Watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule
Apate elimu eeeh
Atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu eeh
Dunia ni hivyo hivyo ndivyo ilivyo
Siompeta hahahaaa
Samba mapangala adiote paris ooohh jotoo
Hima hima hima
Hima hima hima
Hima hima hima
Heeh ses
Heeh ses
Heeh ses
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Tutu bini tutu bini
Writer(s): Samba Mapangala Lyrics powered by www.musixmatch.com