Mama Songtext
von King Kaka
Mama Songtext
Ile upendo ninayo kwako niyadamu kando ya fupa
Kaniubaya nilitenda ni mother alizusha
Wakatishida zilikuja na azikutaka kuenda
Akuonyesha zilikuwa
Bado ilikuwa ni nyama na mrenda
Atazikizidi aje chai bado niyaketepa
Alinionyesha barara nivuke kwa zebra
Usafi wa akili na mwili ndio nitapendwa
Hiyo ilikuwa ni 94 ndio nilikuwa class one
Kanibag check
Kanitie check
Na handkerchief kwa mfuko
Kiatu ikitokana kamba moja chini moja juu
Alafu nenda chuo mother alisema hakuna kufail
Lazima upass son
Kwaivo odijo akinifunza chuo mother ananifunza home
Asubuhi kwa bag ni juo end term ni report form
Nilimtakia smile kwa uso siezi lipisha aliyotenda
Ni asante kwa fujo
Mama pendo lako la ajabu
Siwezi me
Siwezi kusahau
Mama pendo lako la ajabu
Siwezi me
Siwezi kusahau
Zile madome kawaida wakakosana na buda
Alituficha machozi ungedhani Amelia kwa mvua
Analisha vijana watatu kwa hivo hustle yake akainua
Hakuna kitu ilichange bado alismile the same
Tunafunzwa kupika kufua ju hakukuwa na dem
Nimecheza bano siku yote nasijaosha vyombo
Nikimpata kwa hao najua leo niviboko
Nanikweli nilichapwa nanikweli nilikanywa
Nikaona kweli niliblanda nikabadili ninavyo fanya
Wikendi nikwabuda weekdays nikwamother
Mungu akampenda buda akamchukua nikiwa class saba
Siwezi kusahau
Mother ndo breadwinner anaakikisha sahani ikona dishi
Kanitokyo fila anaakikisha nguo iko kwa mwili
Na mmoja akimsumbua wengine tunamwongelesha
Shida tunatatua
Asante kwa kutuboresha
Mama pendo lako la ajabu
Siwezi me
Siwezi kusahau
Mama pendo lako la ajabu
Siwezi me
Siwezi kusahau
Even though alitaka nikuwe daktari sanasana rubani
Mungu alinitunukia zawadi ulimi akatia mistari
Hakupenda nilipomwambia natakakuwa mwimbaji
Ikawa ni issue nikafanya mambo yangu chini ya maji
Saa hii anafurahia akipigiwa king kaka yuko kwa tv
Naukumbuke nimemwalika VIP nalaunch CD
Kulea vijana watatu simchezo na mimi ndo kitinda mimba
Nikona show nakuru na hiyo show inalipa
Ananiambia omba Mungu naunipigie ukishafika
Namshower na mazawadi nanampunguzia mzigo
Siezilipisha hiyo love sababu yeke aina ukingo
Akiwa na mahitaji najikuna miujikuna zaidi
Mawazo ya alipotutoa hadi ikawa ni mimi
Ebu cross line yake tutapigana kichizi
Miumpigia kila wakati kumkumbusha
Nampenda
Mungu amwongezee hiyo moyo
Natena natena
Mama pendo lako la ajabu
Siwezi me
Siwezi kusahau
Mama pendo lako la ajabu
Siwezi me
Siwezi kusahau
I love you mum

Writer(s): Harold Barlow, Cesare Bixio, Bixio Cherubini Lyrics powered by www.musixmatch.com