Songtexte.com Drucklogo

kontena Songtext
von Heis

kontena Songtext

Bwana woza bear

We nyokaa

Jibwane bwane bwanee bwane bwaneh

Haha haha hah

Pabioooh Master

Eeeh daziii boii

Amina
Amina mshubwada
Kajikuta fundi
Peleka peleka mtoto kamwagaa

Amina
Amina mshubwada
Kajikuta fundi
Peleka peleka mtoto kamwagaa

Basi unayaweza Unachelewa
Rukaruka Sana Utapaliwa

Mtoto kayataka
Kaikalia
Shingo mguu wa bata utajijua


Basi unayaweza Unachelewa
Rukaruka Sana Utapaliwa

Mtoto kayataka
Kaikalia
Shingo mguu wa bata utajijua

Oya kontenaaaa
Limeshushwa kontena
Hilo kontenaa limepita kontena

Oya kontenaaaa
Limeshushwa kontena
Hilo kontenaa limepita kontena

Yamepita pale katiii (kontenaa)
Yakienda kwenye patii (kontenaa)
Ata mpira ni pasii (kontenaa)
Goliii akifunga messi (kontenaa)

Yamepita pale katiii oooh (kontenaa)
Yakienda kwenye patii (kontenaa)
Ata mpira ni pasii oooh (kontenaa)
Goliii akifunga messi (kontenaa)


Oa dax we port
Kibarua kautaka kwa mpoki
Oa dax we port
Kibarua kautaka kwa mpoki

Oa vitu vimepanda hivyo
Vikishushwa kwenye party hivyo
Vimepiga vitu cargo hivyo
Vikishuka kwenye range hivyo

Oa tententema tentema
Hapo chini tententema
Matikiti tententema tentema
Hizo boobs tententema

Oya kontenaaaa
Limeshushwa kontena
Hilo kontenaa limepita kontena

Oya kontenaaaa
Limeshushwa kontena
Hilo kontenaa limepita kontena

La man u kontena kontena kontena

Namuhindi kapiga kontena kontena kontena

La man u kontena kontena kontena

Namuhindi kapiga kontena kontena kontena

Eeeeeeh

Acha bwanaaa

Eeeeeeh

Aaaaacha

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
Wer will in seinem Song aufgeweckt werden?

Fans

»kontena« gefällt bisher niemandem.