Mediterranean Moods Songtext
von Harmonize
Mediterranean Moods Songtext
sikuhizi mbona muongo mamiloo
na ukiwahi nitakupeleka kwa mama
mwenzio nimekumis mamiloo
fanya haraka mamiloo nimekumiiss
ili hapa ili ili njoo ulione
punguza kujiangalia kwenye kioo
ule mchezo wa vinanda wa kuganda
habari ndio mzee
na ukiwahi nitakupeleka kwa mama
mwenzio nimekumis mamiloo
fanya haraka mamiloo nimekumiiss
ili hapa ili ili njoo ulione
punguza kujiangalia kwenye kioo
ule mchezo wa vinanda wa kuganda
habari ndio mzee
Writer(s): Pete Namlook, Al A Perry, Alexander Azary Lyrics powered by www.musixmatch.com
