Ulimwengu Songtext
von Corciolli
Ulimwengu Songtext
Oooh, oooh, oooh, oooh
Oooh, oooh, oooh, oooh
Oooh, oooh, oooh, oooh
Oooh, oooh, oooh, oooh
Tunapojituma kuyaharibu makazi yetu
Tunajihatarisha bila shaka twajiangamiza
Muda wetu wayoyoma kadiri unavyosonga
Tunajiteketeza, misitu ikishauta kutajwa mbu wacha maani
Tukumu letu kuelewa kuwa tuwa mwezi, vua na ardhi
Wanyama, pori na hadi nasi
Mito, milima, misitu na nyasi
Vidudu na ndege wa anga ni
Vimefumwa kwa pamoja, aah
Ulimwengu ukizunguka
Kile tunachopanga
Bila shaka ndicho tutavuna (Bayoh, bayoh, bayoh)
Kama jua likitua
Ya letu unayofanya
Bila shaka yatatufuata (Bayoh, bayoh, bayoh)
Oooh, oooh, oooh, oooh
Oooh, oooh, oooh, oooh
Oooh, oooh, oooh, oooh
Oooh, oooh, oooh, oooh
Binadamu ni tisho kubwa kwa dunia
Na vitendo anavyofanya hufanya viumbe kuumia
Sasa tukuwa hatua wakati ndio sasa
Kuyaibali mazingira
Kupata amani, twahitaji uwiano
Kuilinda hii dunia kwa vizazi vijavyo, ooh
Ulimwengu ukizunguka
Kile tunachopanga
Bila shaka ndicho tutavuna (Bayoh, bayoh, bayoh)
Kama jua likitua
Ya letu unayofanya
Bila shaka yatatufuata (Bayoh, bayoh, bayoh)
Ulimwengu ukizunguka
Kile tunachopanga (Ooh)
Bila shaka ndicho tutavuna (Ooh, bayoh, bayoh, bayoh)
Kama jua likitua (Likitua)
Ya letu unayofanya
Bila shaka yatatufuata (Bayoh, bayoh, bayoh)
Ulimwengu ukizunguka
Kile tunachopanga
Bila shaka ndicho tutavuna (Bila shaka ndio tutavuna)
Kama jua likitua
Ya letu unayofanya
Bila shaka yatatufuata

Writer(s): Jose Antonio Marchezani Corciolli Lyrics powered by www.musixmatch.com