Songtexte.com Drucklogo

Safari Songtext
von Papa Wemba & Viva La Musica

Safari Songtext

Maji yango yamecho inenitokana huruma
Kwa kuona watu wawili wanakabulana
Mwingine naenda, mwingine nabaki ya huruma
Juu ya safari
Safari oh safari, umeumiza moyo
Wende, wende ndugu
Kisha masiku kwa nguvu ya mola
Tutaonana tena
Mimi leo naenda tumelakana nawe
Nikishafika atakutumia mkanda
Kwa kujulisha minefika uzima


Safari
Safari oh safari, umeumiza moyo
Wende, wende ndugu
Kisha masiku kwa nguvu ya mola
Tutaonana tena
Watu wengine wanasafiri kwa ndege
Watu wengine wanasafiri kwa mashua
Watu wengine wanasafiri kwa gari
Watu wengine wanasafiri kwa miguu
Safari, safari, safari, safari
Safari, safari
Jetzt Songtext hinzufügen

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Quiz
In welcher Jury sitzt Dieter Bohlen?

Fans

»Safari« gefällt bisher niemandem.