Songtexte.com Drucklogo

Mwenye Baraka Songtext
von Jemmimah Thiong'o

Mwenye Baraka Songtext

Akisema atakubariki hakuna atakaye zuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakaye zuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote.
Akisema atakubariki wala usitie shaka
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Mipango yake ya ajabu tena
Haibadiliki akisema atakuinua ndiye mwenye kuinua
Akisema atakupa mtoto katika umri
Wowote aliwapa sarah na Hannah lipi asiloweza
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote.
Aaah akisema atakubariki watoto wako
Waelimike wapate na shahada nyingi hakuna atakayezuia
Akisema utapona hakuna atakayezuia mama
Aliyetokwa na damu aliponywa na kanzu yake .
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Atalinda afya yako maana yeye ndiye mwenye afya .

Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Wote mbele ya miguu hata baiskeli huna
Akisema wendeshe muzo kesho utaendesha
Waishi nyumba ya matope huna hata
Mavazi akianza kukubariki majirani watashangaa
Akisema atakuinua mbele ya adui zako
Atakwandalia meza ule unywe wakitizama
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote.
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Jemmimah Thiong'o

Fans

»Mwenye Baraka« gefällt bisher niemandem.