Songtexte.com Drucklogo

Hakuna Songtext
von Jemmimah Thiong'o

Hakuna Songtext

Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe

Ewe Yahweh uhimidiwe
El Shaddai utukuzwe
Ewe Yashwa mwokozi wangu
Hakuna aliye kama Wewe
Hoseenu muumba wangu
Ewe Nissi bendera yangu
Ewe Shalom amani yangu
Rapha We ndo mponyaji wangu


Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe

Adonai You are Sovereign
Adonai be exalted
Heaven and earth You are ruler
Adonai we bow before You
Adonai unatawala
Adonai utukuzwe
Mbingu na dunia watawala
Adonai twakuinamia

Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe


Majina haya yote makuu
Uliyapata kwa matendo yako
Ibrahimu ′kakuita Jireh
Ulipompa mwana kondoo

Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe

Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Ni nani aliye kama Wewe
Hakuna aliye kama Wewe

Mungu wangu mwamba wangu kimbilio
Hakuna aliye kama Mungu wangu
Nitakuinua nikuabudu nisifu jinalo tukufu
Halleluyah

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Jemmimah Thiong'o

Quiz
Whitney Houston sang „I Will Always Love ...“?

Fans

»Hakuna« gefällt bisher niemandem.