Busta Rhymes (freestyle) Songtext
von Busta Rhymes

Busta Rhymes (freestyle) Songtext

instrumental


yeah
stan to the rhymes listen
freestyle
yoh Stan to the rhymes juu ya hii bit ya crank
fullu mzuka ka kichwani nipo bangi
nnavoruka kwenye miti kama monkey
siko nusunusu niko full tank
niko dope bit records pembeni Franco
ukija kichwakichwa apa utaliwa ta...
wengine wanasema nimezimwa kama taa
mwizi akitoka nduki basi mi namkamata
demu kama unataka mtoto zaa
af nikiwa na pesa hua nakesha bar
hua sikosi shabaa muulize shabani
nawapiga pini
stan to the the rhymes niko mwituni
niko booth nnachotema ni lugha ya kiroho safi sio matusi
ukinidiss mi utarudi bush
na ukinidiss sana nakupemezesha kush
sikia
yani umaweza ukavutishwa
ukija kiboyaboya unativshwa
na ukijakifarafara unafichwa
kama gero kwenye ocean umbea hauna posho
kaza kongoro tusonge mbele
stan to the rhymes namega tonge then nacheck tembele
iko wapi mi sio waki cheki mawaki wanaongeaongea tu unafki
mim nawalenga bila manati
nanikiwa mbugani hua nna nguvu kama nyati
huu msafara wa mamba kenge mwingime hafati
af nna kitambi tumbo langu halipo flat
natema mahisabat kama spoksi
hichi kichwa ni kichwa cha sposi
hata demu mkali simposi
na mwana kama mwanangu simtosi
(hahahaa haa)
i gat my boi stan to the rhymes
yeah
dope bits
yeah
(round two)
(round two)
eyo sikia
hii hapa ni round ya pili
stan to the rhymez na flow mpka kuchwiri
wengine wanasema mida imeenda ni saa mbili
aah sa mbili mida haijaenda mida imeenda ni majogoo
mi kwangu majogoo ndo mida mibaya
na ndo mida ya kurudi maskani huku nikiwa kaya
niko on fire ukinidiss utaniona m'baya
navofanya izi rhymes niko kama vile choka mbaya
lile kundi la prof geezy
mwizi akiiba tumkimbize
na mnoko akidananda tumuulize
akipanua mapaja tumuingize
sorry ka nimetukana
ila ni rapper ambae fake rappers nawabana
alafu wengine wanahanya
wanajichanganya
haohao ni paka na panya
hii bit ni kali
sio wewe tu wengi wamekubali
na ni bit flani ambayo bit ya kupary inamchanganyiko kama nyanya na kachumbari
sorry ni nyanya na kitunguu
stan to the rhymes niko juu
nnavorandaranda ni kama mchwa ndan ya kichuguu
skosi ukoko coz stan rhymes mimi ni jungu kuu
babu ananiita kijukuu
af bimkubwa ananiita kitukuu
nikate kama kitunguu utalia mwenyew
sababu wewe uko chini mimi niko juu
ahahaaa ah
yeah
Njombe
prepared by Kapoli

Songtext kommentieren

Schreibe den ersten Kommentar!

Übersetzung

Quiz
Wer singt über den „Highway to Hell“?

Fan Werden

Fan von »Busta Rhymes (freestyle)« werden:
Dieser Song hat noch keine Fans.
Diese Website verwendet eigene Cookies und Cookies von Dritten um die Nutzung unseres Angebotes zu analysieren, dein Surferlebnis zu personalisieren und dir interessante Informationen zu präsentieren (Erstellung von Nutzungsprofilen). Wenn du deinen Besuch fortsetzt, stimmst du der Verwendung solcher Cookies zu. Bitte besuche unsere Cookie Bestimmungen um mehr zu erfahren, auch dazu, wie du Cookies deaktivieren und der Bildung von Nutzungsprofilen widersprechen kannst.
OK